Wide selection, competitive pricing, flexible financing, expert guidance, certified pre-owned, great trade-ins, and exceptional customer service.
1.
Full tank fuel
2.
Free car services
3.
Fast Car Delivery
Service
4.
Triangle and Fire extingusher
Testimonials
4.5
4.5/5
Nimeagiza gari langu nilipendalo na jaco motors ndani ya siku 40 gari yangu imefika. kwakweli ni wataalamu wa kuagiza magari
Patrick Sanga.
MBEYA
4.5
4.5/5
Nimefurahi sana kuagiza gari langu na jaco motors niliwaona tuu mtandaoni nikapiga simu kwakweli huduma yao ni nzuri sana sikutarajia kama ntapata gari langu bila changamoto yoyote na nimeletewa mbaka arusha asante sana jaco motors
Yusta Kimaro. ARUSHA
4.5
4.5/5
Nimelipia kwa awamu mbili gari langu na jaco motors na nimelipata hapa siamini .nimepewa triangle,fire extinguisher na tinted kaniwekea big up sana sasa ninamchuma wangu kutoka kwa jaco motors asante sana jaco
Rammadhan Issa. Dar es Salaam
Come to see the car you love and test drive.
If you want to test drive the car you love book us now.....